Msewe wa Kambini ukiwa katika Mazoezi
Wakiwa wanajitaarisha kwa ajili ya onesho la 100% Zanzibari huko Pemba
Mkota on Steroids
Kikundi cha Mkota Ngoma kutoka Pemba wakiwa kwa wanyeji wao Nungwi wakifanya mazoezi kwa ajili ya onesho la 100% Zanzibari; sherehe za mardhiano ya umoja wa kitaifa huko Nungwi, mkoa wa kaskazini Unguja.
Culture Music Club.
Nao hawakuwa nyuma katika maonesho hayo, Culture na wakiwa mazoezini katika Club yao kwa ajili ya kuwa patia wananchi vilivyo vitamu katika ukumbi wa Ngome Kongwe mjini Unguja
No comments:
Post a Comment